Wataalamu wa Kiingereza njooni tusugue kichwa kidogo hapa

Wataalamu wa Kiingereza njooni tusugue kichwa kidogo hapa

A woman was born in 1975 and died in 1975.
She was 22 years old at the time of her death.
How?
Itakuwa kigagula huyo.

Apumzike kwa amani😂.

Kujibu kitendawili, ni kwamba alizaliwa mwaka 1975 na kufariki katika chumba/anuani namba 1975.

Na ukihitaji mwaka wake aliofariki ilikuwa ni 1997. Alikuwa mchepuko wangu.
 
The key to solving this puzzle is understanding that 1975 refers not to a year but a room number or similar designation
The woman was born in a room 1975 and died in room 1975,and she was 22 yrs at the time of her death
So numbers 1975 refer to a specific location rather than yrs
 
This sounds like a riddle! The answer is that the woman was born in room 1975 of a hospital and died in room 1975 of the same hospital. She was 22 years old at the time of her death.
 
A woman was born in 1975 and died in 1975.
She was 22 years old at the time of her death.
How?
In my opinion the year of birth was written unknowingly therefore, 1975 a year of death, minus 22 years of her age the result will be the year she was born which is 1953, Kwa maoni yangu walikosea kuandika mwaka wa kuzaliwa na ili kupata mwaka wa kuzaliwa inabidi kutoa miaka aliyo ishi dunia ambayo ni miaka 22, toka mwaka 1975 alio kufa, jawabu litakalo patikana ni mwaka wake wa kuzaliwa ambao ni 1953.
 
This sounds like a riddle! The answer is that the woman was born in room 1975 of a hospital and died in room 1975 of the same hospital. She was 22 years old at the time of her death.
...... In that case, she could have died while in room 1975 of some hotel, not necessarily at the same hospital where she was born.

As an extension, she also could have been born in ATCL Flight 1975 and died while in KQ Flight 1975!
 
In my opinion the year of birth was written unknowingly therefore, 1975 a year of death, minus 22 years of her age the result will be the year she was born which is 1953, Kwa maoni yangu walikosea kuandika mwaka wa kuzaliwa na ili kupata mwaka wa kuzaliwa inabidi kutoa miaka aliyo ishi dunia ambayo ni miaka 22, toka mwaka 1975 alio kufa, jawabu litakalo patikana ni mwaka wake wa kuzaliwa ambao ni 1953.
wewe umejuaje kama mwaka uliokosewa ni mwaka alio zaliwa? vipi kama mwaka aliokufa ndo hauko sawa? halafu pia nani kakuambia 1975 ni mwaka?
 
wewe umejuaje kama mwaka uliokosewa ni mwaka alio zaliwa? vipi kama mwaka aliokufa ndo hauko sawa? halafu pia nani kakuambia 1975 ni mwaka?
Ameishi miaka 22 ni rahisi kukumbuka mwaka aliokufa kwasababu mtu akifa inatakiwa azikwe, angalizo, huwezi kuzaliwa mwaka huohuo halafu ukawa na umri wa miaka 22. Was born in 1975 and died in 1975, yaani alizaliwa mwaka 1975 na kufa, (kufariki), mwaka 1975.
 
Kwanza zingatia "was born IN" na "died IN" pia shugulika na "she WAS"

Hapo unapata jibu.
In that case they will be no concept of life span, no body can live for 22years, in a year time., Hakuna binadamu anaishi kwa miaka 22 kwa muda wa mwaka mmoja, (ndani ya mwaka mmoja), vinginevyo tufuate mtizamo wa muuliza swali, siyo tena swali fikirishi.
 
Back
Top Bottom