Wataalamu wa Kiingereza njooni tusugue kichwa kidogo hapa

vipi kuhusu time travel? hujui kuwa mapacha wawili wanaweza kuzaliwa leo baada ya miaka 85 mmoja anaweza kuwa na miaka 85 wakati huo pacha wake hajamaliza hata mwaka mmoja!

ukifikiria kinyume chake inawezekana ukazaliwa mwaka huu na ukafa mwaka huu ukiwa na hiyo miaka 22.

Jaribu kufikiria tena usiwe mwepesi ku draw conclusion.
 
In 1975 , namba ya chumba cha hospitali aliyozaliwa na alikufa chumba hicho hicho
Inaweza "born in" hapo mbele inaweza kufata Place au hata mwaka aliozaliwa. So in 1975 inaweza kuwa mwaka na hiyo ya pili 1975 inaweza kuwa place. Au hiyo 1975 inaeza kuwa place kote
 
Itakuwa kigagula huyo.

Apumzike kwa amani😂.

Kujibu kitendawili, ni kwamba alizaliwa mwaka 1975 na kufariki katika chumba/anuani namba 1975.

Na ukihitaji mwaka wake aliofariki ilikuwa ni 1997. Alikuwa mchepuko wangu.
No please, we are not closed minded, hatuja fungwa akili hadi tufikirie inavyotaka wewe unapotosha jamii, yaani tufikirie anavyo fikiri mwalimu hata kama anakosea
 
No please, we are not closed minded, hatuja fungwa akili hadi tufikirie inavyotaka wewe unapotosha jamii, yaani tufikirie anavyo fikiri mwalimu hata kama anakosea
Dude, put a grip on your self imposed importance.
This is all written light heartedly and nobody held a gun on your empty skull to either read my comment or take it for gospel.

Jamii hiyo inayopotoshwa ya makalio yako au??

Hii ndio athari ya mazumbukuku kujua kutumia simu, hata pasipo na ubishani mnataka kuleta league. It's a bloody riddle for the love of sanity.
 
Comments reserved
 
Was, inatumika kuwakilisha mtu mmoja
 
The unnamed woman was born in 1975, likewise another unnamed woman died in 1975 while have 22 yrs.It is possible that those two different people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…