Wataalamu wa kilimo Cha mahindi mje hapa..

Wataalamu wa kilimo Cha mahindi mje hapa..

gilldenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
2,915
Reaction score
3,019
Haya mahindi yanaanguka tu shida ni nini wapendwa...[emoji116]
IMG_20220429_101540.jpg
IMG_20220429_101542.jpg
 
Je kwene palizi uliyapandishia udongo..
mana kama hujayapandishia udongo upepo ukija ndo yanadondoka kama hivyo
 
Je kwene palizi uliyapandishia udongo..
mana kama hujayapandishia udongo upepo ukija ndo yanadondoka kama hivyo
Hapana hatukuyapandishia udongo....
 
hapo ni mchwa ndio wana yaangusha chunguza vzr, pia kama kuna hali ya ukame inachangia sana kufanya mahindi yaanguke kwa baadhi ya maeneo
 
Back
Top Bottom