gilldenu JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 2,915 Reaction score 3,019 Apr 30, 2022 #1 Haya mahindi yanaanguka tu shida ni nini wapendwa...[emoji116]
Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,271 Reaction score 1,828 Apr 30, 2022 #2 Je kwene palizi uliyapandishia udongo.. mana kama hujayapandishia udongo upepo ukija ndo yanadondoka kama hivyo
Je kwene palizi uliyapandishia udongo.. mana kama hujayapandishia udongo upepo ukija ndo yanadondoka kama hivyo
gilldenu JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 2,915 Reaction score 3,019 Apr 30, 2022 Thread starter #3 Majan said: Je kwene palizi uliyapandishia udongo.. mana kama hujayapandishia udongo upepo ukija ndo yanadondoka kama hivyo Click to expand... Hapana hatukuyapandishia udongo....
Majan said: Je kwene palizi uliyapandishia udongo.. mana kama hujayapandishia udongo upepo ukija ndo yanadondoka kama hivyo Click to expand... Hapana hatukuyapandishia udongo....
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,292 Reaction score 7,867 May 1, 2022 #4 gilldenu said: Hapana hatukuyapandishia udongo.... Click to expand... Nafikiri umeshajua ulipokosea,
N Nazareth_NCP Member Joined Mar 19, 2019 Posts 30 Reaction score 24 Jun 1, 2022 #5 hapo ni mchwa ndio wana yaangusha chunguza vzr, pia kama kuna hali ya ukame inachangia sana kufanya mahindi yaanguke kwa baadhi ya maeneo
hapo ni mchwa ndio wana yaangusha chunguza vzr, pia kama kuna hali ya ukame inachangia sana kufanya mahindi yaanguke kwa baadhi ya maeneo