Wataalamu wa kilimo naombeni msaada

Wataalamu wa kilimo naombeni msaada

Amepata penseni na akamega 20,000,000+ na hajamshirikisha yoyote.Mzazi hajawahi Lima tikititi.Hivi utajiri unaupata 60+?
Hhahahahhah nilijua tu wanakuwaga na mawenge sana wakishapata kiinua mgongo apo nyie mwacheni siku si nyingi wenge litakata.
 
Mzazi wangu kalima matikiti hekari 5.Ni kilimo cha umwagiliaji.Hakushirikisha mtu yoyote.Kulima,kununua mbegu,gharama za mafuta kuvutia maji katumia zaidi ya 20,000,000.Na ni Mara ya kwanza kulima matikiti.Anasema anategemea kupata faida.Sisi wanae hatujaridhika na uamuzi huo mana kilimo na kamari.Kwa sasa haelewi mtu.Hivi mnaolima mnatupa fedha zote hizo ardhini?
Hiyo ni pesa yake kwanini unataka kumpangia matumizi?
 
Mshauri aweke kwenye utt amis liquid fund hapo hata Julia ila kilimo sio kibaya ila umrii umeenda sana hata connection yakutafuta masoko pia hapo usafiri wa kusafirisha yani ni kazi juu ya kazi ila mifuko ya uwekezaji ya pamoja haitamletea presha
 
Kilimo hakitabiriki. Unaweza kushangaa akapiga hela ndefu kwenye hayo matikiti mkabaki midomo wazi..!
Kilimo ni kamari na hasa cha kutegemea mvua. Ila cha umwagiliaji kama amejipanga vizuri anaweza kupata kwani atavuna kipindi chenye uhaba wa hilo zao.
 
Nipe namba zake si hela nyingine ipo?
 
Amelima eka 5? Aisee naomba uniambie analala na kushinda shambani
 
Amepata penseni na akamega 20,000,000+ na hajamshirikisha yoyote.Mzazi hajawahi Lima tikititi.Hivi utajiri unaupata 60+?

Utajir ni muda wowote hauna umri. Ila kwa mara ya kwanza hekari hizo hatoboi uje utupe mrejesho
 
Back
Top Bottom