Wataalamu wa kilimo naombeni msaada

Wanatumia Mto Pangani
 
Amepata penseni na akamega 20,000,000+ na hajamshirikisha yoyote.Mzazi hajawahi Lima tikititi.Hivi utajiri unaupata 60+?
Hhahahahhah nilijua tu wanakuwaga na mawenge sana wakishapata kiinua mgongo apo nyie mwacheni siku si nyingi wenge litakata.
 
Hiyo ni pesa yake kwanini unataka kumpangia matumizi?
 
Mshauri aweke kwenye utt amis liquid fund hapo hata Julia ila kilimo sio kibaya ila umrii umeenda sana hata connection yakutafuta masoko pia hapo usafiri wa kusafirisha yani ni kazi juu ya kazi ila mifuko ya uwekezaji ya pamoja haitamletea presha
 
Kilimo hakitabiriki. Unaweza kushangaa akapiga hela ndefu kwenye hayo matikiti mkabaki midomo wazi..!
Kilimo ni kamari na hasa cha kutegemea mvua. Ila cha umwagiliaji kama amejipanga vizuri anaweza kupata kwani atavuna kipindi chenye uhaba wa hilo zao.
 
Nipe namba zake si hela nyingine ipo?
 
Amelima eka 5? Aisee naomba uniambie analala na kushinda shambani
 
Amepata penseni na akamega 20,000,000+ na hajamshirikisha yoyote.Mzazi hajawahi Lima tikititi.Hivi utajiri unaupata 60+?

Utajir ni muda wowote hauna umri. Ila kwa mara ya kwanza hekari hizo hatoboi uje utupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…