Wataalamu wa kiswahili mtusaidie tuondoe ubishi ni Akili mnemba au akili mnembe

Najua ulikusudia kusema Akili kinembe.

Maana watanzania na habari za k.uma ni pete na kidole.

Ndio maana watanzania bora wakose maji na umeme ila sio connection zinazovuja.

Utasikia nitumie na mimi, tugawane dhambi.

Dr. Mariposa kapost uzi wa connection ya harmonize, watu wanamiminika PM huko kuomba.

Wabongo na ngono ni pete na kidole.
 
Kwa kweli wabongo kwa ngono hawana mpinzani
 
Kiswahili sanifu ni akili unde sio akili mnemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…