M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,913 Reaction score 4,695 Jun 19, 2025 #1 Hivi kama mtu haupo kwenye vat,ukiandaa hesabu za mizania ya mwaka unatakiwa manunuzi uweke yote yenye vat na bila vat au unatakiwa uweke yabila vat? Toeni elimu
Hivi kama mtu haupo kwenye vat,ukiandaa hesabu za mizania ya mwaka unatakiwa manunuzi uweke yote yenye vat na bila vat au unatakiwa uweke yabila vat? Toeni elimu
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,266 Reaction score 40,225 Jun 19, 2025 #2 TRA Tanzania