Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Je, wewe ni kungwi wa kucheza na PC? Sina maana ya wale mnaoweza kuplay Games kwenye PC ama wale wenye uzoefu wa kuhamisha movies za Dj Mark kwenye flashdisk. La hasha! Nina maana ya wale mnaoweza kucheza na zile programmes za msingi sana.
Nianze na ArtWork designs. Kuna wale wataalamu wa kutengeneza High Quality Audio Covers, yaani unakuta wimbo una-play ukiwa na ka picha fulani hivi kalikotengenezwa kitaalamu. Naomba kufahamu programmes ama apps mnazozitumia kutengenezea hizi vitu kwenye pc with high quality rendering capability, sio yale ma-cover ambayo under 360p yana-display mirages
Mfano wa ArtWork ninayoizungumzia
Ziada:
a) Nina Lenovo PC ambayo natumia, ila sielewi ni kwanini upande wa Microsoft Apps haiwezi kuinstall. Naombeni kufahamu PC ya bei rahisi ambayo inaweza kuinstall microsoft apps kiurahisi
b) Nitawezaje kutumia android apps kwenye PC?
Ni hayo tu