Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee hiyo ni fani inaitwa hyper relistic painting. Ni kweli kuwa hawachori from scratch bali wanatumia picha zilizopigwa na kamera halafu wana replicate every detail. Yani picha unapigwa alafu yeye anaichora kwa mkono na kuweka kila detail iliyo kwenye picha halisi yani ukiangalia ya camera na ya kuchora ziko sawa.Uongo mwingine bhn, yani unaona kabisa hiyo ni picha halisi alafu mnaongopewa. Kawaongopeeni haohao mabunga zeze. Hizo nywele kazichoraje tuanzie hapo kwanza.
Weka sampo zake alizochora tuoneKuna mwingine yupo UDSM hall 4 hatari tupu sema ndio sio maarufu.
Kwa hiyo hata hii mask pia ni ya kuchora?
Jamaa ni mnoma na nusu!Mzee hiyo ni fani inaitwa hyper relistic painting. Ni kweli kuwa hawachori from scratch bali wanatumia picha zilizopigwa na kamera halafu wana replicate every detail. Yani picha unapigwa alafu yeye anaichora kwa mkono na kuweka kila detail iliyo kwenye picha halisi yani ukiangalia ya camera na ya kuchora ziko sawa.
Huyo jamaa anaitwa Silas Onoja.
Kuna watu mafundi.