A Afage Member Joined Sep 12, 2021 Posts 46 Reaction score 66 Apr 3, 2022 #1 Nimekuwa nikiota ndoto za kuokota pesa tena sarafu zikiwa kwenye mstari mara kwa mara ingawa Jana nikiwa na piga story za jamaa zangu nao wamesimulia ndoto hiyo nini maana yake?
Nimekuwa nikiota ndoto za kuokota pesa tena sarafu zikiwa kwenye mstari mara kwa mara ingawa Jana nikiwa na piga story za jamaa zangu nao wamesimulia ndoto hiyo nini maana yake?