Wataalamu wa kutengeneza template za blog kazi hii hapa

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habari
Wanajukwaa nilikuwa nahitaji mtaalamu wa ku designe template kwa ajiri ya BLOG yangu ambapo kuna aina moja ya muudo au template inatumika katika Blog moja ninaipenda sana.
Kama wewe ni mtaalamu wa kuweza kuni tengenezea aina kama hii ya template toka WEBSITE Hii hapa kwa kufaTA link hii.

BOFYA HAPA uone mfano wa template hii ninayoihitaji.

List Crux - Classy Lists that you will be tempted to Read

Kama unaweza kazi hiyo email me tufanye biashara.

[email protected]
 
mkuu onana na Young Master yeye anatengeneza

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom