Habari
Wanajukwaa nilikuwa nahitaji mtaalamu wa ku designe template kwa ajiri ya BLOG yangu ambapo kuna aina moja ya muudo au template inatumika katika Blog moja ninaipenda sana.
Kama wewe ni mtaalamu wa kuweza kuni tengenezea aina kama hii ya template toka WEBSITE Hii hapa kwa kufaTA link hii.
BOFYA HAPA uone mfano wa template hii ninayoihitaji.