Amami Kwenu
Naombeni mnisaidie kujua maana,tofauti na tafsiri ya maneno yafuatayo kwa lugha ya kiwsahili.Kusema kweli ni maneno ambayo mimi binafsi uwa yananichanganya sana na mpaka leo bado yananipa utata.Nawezaje kuwatofautisha watu hawa.Naombeni mnipe maelezo yanayojitosheleza ikiwemo na mifano hai ya watu hawa kutoka katika jamii yetu ya kitanzania.Maneno yenyewe ni haya yafuatayo
1. A Celebrity
2. A Star
3. A Superstar
4. A Famous
5. A Legendary
Wataalamu wa lugha naombeni mnisaidie.Natanguliza shukrani zangu

Ivi mpk uwe superstar unakua umefanya kitu gani???
1. anaweza kuwa yeyote maarufu kama alik kiba,diamond,lulu
2.kama celebrity tu
3.superstar ni zaidi ya star tu....kama ali kiba ni star na diamond ni superstar
4.famous kama wema sepetu au yule mshabiki wa yanga alielia
5.legend ni kama bi kidude au remmy ongala
famous sharti awe "mjulikana" kwa mambo ambayo yanachukuliwa mema au mazuri kwa jamii, kinyume na hapo tunapata neno "infamous"sahihi mkuu!