Wataalamu wa Lugha Naombeni Mnisaidie

Wataalamu wa Lugha Naombeni Mnisaidie

DOGofGOD

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,341
Reaction score
480
Amami Kwenu
Naombeni mnisaidie kujua maana,tofauti na tafsiri ya maneno yafuatayo kwa lugha ya kiwsahili.Kusema kweli ni maneno ambayo mimi binafsi uwa yananichanganya sana na mpaka leo bado yananipa utata.Nawezaje kuwatofautisha watu hawa.Naombeni mnipe maelezo yanayojitosheleza ikiwemo na mifano hai ya watu hawa kutoka katika jamii yetu ya kitanzania.Maneno yenyewe ni haya yafuatayo

1. A Celebrity
2. A Star
3. A Superstar
4. A Famous
5. A Legendary

Wataalamu wa lugha naombeni mnisaidie.Natanguliza shukrani zangu
 
yanamaanisha kitu kimoja, being fame, well known, outshine others..

Lengendary.., kuwa legend,:mbabe a hero ktk kitu flan.
 
Nashukurru mkuu.ila kuna mtu aliwai kuambiwa kua "wewe ni Star Bwana".Lakini yeye akakataa akasema "mimi sio Star ila mimi ni Superstar.Apo ndo nnapodhidi kuchanganyikiwa kuhusu aya maneno.ndomana nahitaji kujua tofauti iko wapi
 
Ngoja nikupe mfano rahisi , alikiba - star , diamond - superstar
 
Amami Kwenu
Naombeni mnisaidie kujua maana,tofauti na tafsiri ya maneno yafuatayo kwa lugha ya kiwsahili.Kusema kweli ni maneno ambayo mimi binafsi uwa yananichanganya sana na mpaka leo bado yananipa utata.Nawezaje kuwatofautisha watu hawa.Naombeni mnipe maelezo yanayojitosheleza ikiwemo na mifano hai ya watu hawa kutoka katika jamii yetu ya kitanzania.Maneno yenyewe ni haya yafuatayo

1. A Celebrity
2. A Star
3. A Superstar
4. A Famous
5. A Legendary

Wataalamu wa lugha naombeni mnisaidie.Natanguliza shukrani zangu

Kwa mifano hii utaelewa..

Celebrity -kim kardashian

Star- elizabeth michael lulu

Superstar-- Cristiano Ronaldo

Famous---- Isaac Newton

Legendary----Michael Jackson

Hapo vipi??
 
Amami Kwenu
Naombeni mnisaidie kujua maana,tofauti na tafsiri ya maneno yafuatayo kwa lugha ya kiwsahili.Kusema kweli ni maneno ambayo mimi binafsi uwa yananichanganya sana na mpaka leo bado yananipa utata.Nawezaje kuwatofautisha watu hawa.Naombeni mnipe maelezo yanayojitosheleza ikiwemo na mifano hai ya watu hawa kutoka katika jamii yetu ya kitanzania.Maneno yenyewe ni haya yafuatayo

1. A Celebrity
2. A Star
3. A Superstar
4. A Famous
5. A Legendary

Wataalamu wa lugha naombeni mnisaidie.Natanguliza shukrani zangu

1. anaweza kuwa yeyote maarufu kama alik kiba,diamond,lulu
2.kama celebrity tu
3.superstar ni zaidi ya star tu....kama ali kiba ni star na diamond ni superstar
4.famous kama wema sepetu au yule mshabiki wa yanga alielia
5.legend ni kama bi kidude au remmy ongala
 
Iko ivi;maneno manne ya mwanzo yako sawa tofauti ipo kwa neno legendary~huyu ni mtu maarufu wa kizazi na kizazi mfano Bob Maley.wengine walio baki ni maarufu wa muda au musimu mfano mr nice au juma nature walikuwa maarufu ktk zama zao na sio leo tena.

Nchi zilizo endelea kunavigezo vya mtu kuitwa supa staa kama ni mwanamuziki.Basi wanaangalia mauzo,kodi,ajira alizo zalisha,vitegauchumi,&life style.kwetu hapa ni kinyume unaitwa supa staa hasa kutokana na kwandikwa sana kwenye magazeti ya udaku baasi!
 
1. anaweza kuwa yeyote maarufu kama alik kiba,diamond,lulu
2.kama celebrity tu
3.superstar ni zaidi ya star tu....kama ali kiba ni star na diamond ni superstar
4.famous kama wema sepetu au yule mshabiki wa yanga alielia
5.legend ni kama bi kidude au remmy ongala

sahihi mkuu!
 
sahihi mkuu!
famous sharti awe "mjulikana" kwa mambo ambayo yanachukuliwa mema au mazuri kwa jamii, kinyume na hapo tunapata neno "infamous"

legend kigezo kikubwa kimojawapo ni kuwa asiwe anaendelea kujihusisha na mambo yaliyompa umaarufu, aidha kwa sababu ya kifo au kuacha tu

star anang'aa kuliko wengine ambao anashiriki nao au anashindana nao katika jambo fulani (kama ni sinema awe amevaa uhusika katika eneo muhimu la sinema na /au kufikisha ujumbe tarajiwa wa muhimu, ndo uswazi tunasema "stelingi")

superstar ni hilo la hapo juu ila iwepo pia "consistence" (naomba kiswahili chake) na geographical coverage ya umaarufu wake

kwa tanzani hayo yote unayapata kutokana na uwezo wako wa kuwahonga wandishi wa magazeti ya udaku
 
Back
Top Bottom