Wataalamu wa Maabara watoa dukuduku lao, kuhusu sakata la utoaji majibu yasiyo sahihi katika Vituo vya Afya

Maabara na zahanati nyingi sana hawatoi majibu sahihi/ya kweli kinachofanyika ni guess works na uhafifu wa vitendea Kazi na pia kwa ajili ya kuuza dawa
 
Maabara na zahanati nyingi sana hawatoi majibu sahihi/ya kweli kinachofanyika ni guess works na uhafifu wa vitendea Kazi na pia kwa ajili ya kuuza dawa
Wamegeuza kuwa biashara sasa, kama ndo hivyo, figo zetu zitaendelea kuchoshwa kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…