Wataalamu wa Madini/wafanya biashara za madini

Nimetumia miezi 6
Acha uzembe 1.5 kwa miez maan yake una maingizo zaid ya 500k kwa mwezi inayokufany uweke 2.8 kwa mwez kama balance
Chapa kazi kwa muda wa miaka mitano then utapata uwanja mkubwa wa kucheza kulingana na mtaji utakaokuwa umeuweka kwa muda wote huo!!
 
 
urgent:
hesabu za kodi na kusajili kampuni, muda sio rafiki
0788104228 - vunja bei
 
urgent:
hesabu za kodi na kusajili kampuni, muda sio rafiki
0788104228 - vunja bei
 
KAMA KUNA MWEKEZAJI WA KOPA, NJOO NANYUMBU MTWARA TUTETE. WATSAP ME 0766432676
 
Mkuu ukitaka ufanikiwe biashara ya madini lazima upate mwenyeji kwenye hiyo sekta na aliyejitolea kwa moyo mmoja sababu biashara ya madini hasa dhahabu ndio nzuri zaidi na rahisi kukuza mtaji sababu nimetembelea sana kwenye maeneo ya uchimbaji.Biashara ya dhahabu sio kama ya mpunga kwamba ukiona unajua huu ni mpunga hapana kuna namna ya kulijua jiwe lenye dhahabu sababu unaweza kuona jiwe linang'aa kumbe ni madini ya chuma wahuni wanapaka hadi rangi mawe halafu unapigwa losi mchana kweupe.Kuna jamaa ana mwalo amekukaribisha ongea nae we kakae kwenye mwalo wake nunua kitu inaitwa seneti yaani mchanga uliochenjuliwa we unarudia tena kuosha na mbinu nyingine jenga urafiki na wale wamama wanao osha wakitoa dhahabu wakuuzia halafu we unapeleka sokoni, huo mtaji wako unatosha kwa kuanzie.Sehemu nzuri nenda Geita au kahama,huko nyamongo watukupiga ponchi(nyundo) wakisikia una mzigo vinginevyo jifunze kuwa mbabe kama ni mpole hautoboi[emoji23].
 
Namim napenda kufanya biashara hii nipo kahama Nina mtaji 1.5milion naweza pata ABC kwa mtu ambaye yupo kahama
 
nyamongo ipo wapi mkuu .. ni Mara nini
[emoji1787][emoji1787]
 
Swali la msingi sana..maisha ya machimboni ni hatari tupu..huku majambazi..huku makahaba..huku kudondokewa duara...yani acha tu.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji117]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…