Wataalamu wa magari mtufahamishe juu ya uchinjaji wa magari

Wataalamu wa magari mtufahamishe juu ya uchinjaji wa magari

oooh, lakini haya hayana ajari hata mchubuko ninayoonaga mimi

shukrani
Same logic. Kwa mtu mwenye duka la spare za magari, ni faida zaidi kuchinga gari na kuuza parts kuliko kuliuza lote. Tena hao sijui wameyatoa wapi. Wadau huwa wanachinjia huko huko Japan. Unakuta gari la dola 1000 lakini akifikisha parts huku kwetu hiyo pesa anaipata kwa kuuza engine tu. Bado gearbox, taa, bumbers, vioo, radio, siti, body parts kama milango etc. So anaweka fikisha dola 5000 na zaidi.

Kimbebe kipo kama hauna wateja. Hata powerwindow tu huwezi kuuza.
 
Back
Top Bottom