Wataalamu wa magari, naomba msaada

Shedangio

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
448
Reaction score
170
Samahani naomba mwenye ujuzi anijuze gear box ya automatic car 'inachange' vipi na ni kitu gani kinafanya mpaka ibadili gear( Yaani ishift from one transimission to another)
 
Samahani naomba mwenye ujuzi anijuze gear box ya automatic car 'inachange' vipi na ni kitu gani kinafanya mpaka ibadili gear( Yaani ishift from one transimission to another)
Aisee nenda tu garage jombaa
 
Kabla ya kujua kuhusu automatic gearbox, je unajua kinachotokea ndani ya manual gearbox unapoingiza gear
 
Hapa tofaufi iko kwenye kubadilisha
Manual inabadilishwa sasa tatizo ni kitu gani kinachobadilisha hizi za automatic?
 
Wataalamu naomba kuelimishwa hii Corolla nimetumiwa picha neno lililo kushoto halisomeki vema. Ni Corolla aina gani pia ulaji wake wa mafuta na upatikanaji wa Spea zake? Pia kati ya hii na Carina TI ipi iliyo bora?
 
Nunua Ti Carina
 
Achana na magari ya kijinga chukua carina
 
Swali zuri ila halijapata mjuvi, namim nasubiria elimu hii
 
Kwanz
Samahani naomba mwenye ujuzi anijuze gear box ya automatic car 'inachange' vipi na ni kitu gani kinafanya mpaka ibadili gear( Yaani ishift from one transimission to another)
Kwanza kwa kuanzia mkuu gear box za automatic zipo za aina mbili.

Kuna gearbox ya umeme.

Na aina nyingine ni gearbox ya pressure.

Hiyo aina ya kwanza ni kuwa ili ibadili gia huwa inategemea umeme ambao huwa unaendesha valve solenoid zilizopo ndani ya gia box ambazo zikipata umeme huwa zinafungua pressure ya hydrolic kutegemeana na control box au transmission control.

Na hiyo aina ya pili gari huwa inabadili gia kutokana na pressure ya hydrolic yenyewe huwa inakuwa haina valve za umeme.na huwa inakuwa haina kabisa valve.

Sasa hapo mkuu nambie ww unataka nikudadavulie aina ipi.

Maana ni somo lefu sana kama utataka kuelewa in deeep n mm nipo tayari kukuelekeza coz ndio najishughulisha na ishu hizo.

Upele umepata mkunaji.
 
Hapa tofaufi iko kwenye kubadilisha
Manual inabadilishwa sasa tatizo ni kitu gani kinachobadilisha hizi za automatic?
Ni elimu ndefu sana.na nifupi sana wewe unataka kufaham kivipi labda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…