Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nenda tu garage jombaaSamahani naomba mwenye ujuzi anijuze gear box ya automatic car 'inachange' vipi na ni kitu gani kinafanya mpaka ibadili gear( Yaani ishift from one transimission to another)
Nunua Ti Carina![]()
Wataalamu naomba kuelimishwa hii Corolla nimetumiwa picha neno lililo kushoto halisomeki vema. Ni Corolla aina gani pia ulaji wake wa mafuta na upatikanaji wa Spea zake? Pia kati ya hii na Carina TI ipi iliyo bora?
Kwanza kwa kuanzia mkuu gear box za automatic zipo za aina mbili.Samahani naomba mwenye ujuzi anijuze gear box ya automatic car 'inachange' vipi na ni kitu gani kinafanya mpaka ibadili gear( Yaani ishift from one transimission to another)
Ni elimu ndefu sana.na nifupi sana wewe unataka kufaham kivipi labda..Hapa tofaufi iko kwenye kubadilisha
Manual inabadilishwa sasa tatizo ni kitu gani kinachobadilisha hizi za automatic?