Wataalamu wa magonjwa ya wanawake

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,293
Habari humu ndani.

Jamani wataalam wa magonjwa ya kina mama naombeni mawazo yenu hapa juu ya afya ya mama watoto. Akikaribia bleed huwa anakua na mambo yafuatayo.

1. Zikibaki kama siku tano aingie hedhi tumbo linajaa sana unaweza sema ana mimba hata ya miezi mitatu ila akibleed tu linaisha kabisa anakua normal.

2. Akikaribia hedhi anatoka chunusi na uso unakua na rashes ila akimaliza anakua soft kama zamani.

3. Kuna kipindi tumbo linamuuma sana akikaribia kuingia.

4. Akikaribia kuingia eneo la kiuno linakua lamoto sana na kiuno kinakaza sana. Yani anachemka sana ila akianza tu panapoa.

5. Mara kwa mara anapata kichefu chefu na dalili zote za mimba lakini unashangaa ana bleed.

Niko nae mwaka sasa hajawahi kunasa mimba.

N. B nilishaenda hosp wakampima vipimo vya homoni wakasema yuko ok, kipimo cha mirija kile kinachouma sana wakasema yuko ok.

Sasa hata sijajua nifanye nini nafikiria kurudi tena hospital coz ni miezi miwili tangu afanyiwe vipimo.

Nahitaji mtoto jamani mwenye mawazo na kujua tiba ya hizi mambo tafadhali.

Amani iwe nanyi
 
naendelea kusubiria wataalam waje humu na yeyote mwenye case kama hii aseme aliitatua vp
 

duh! samahani nimekosea njia bye.
 
Kiukweli inahitajika utaalam wa kina DK.MWAKA maana wanajua magojwa ya wanawake kuliko wanaume, navyojua yupo hum pia kuna dokta MziziMkavu ajaribu ushauri
 
Last edited by a moderator:
Kuna mambo kadhaa. Je alikwisha wahi kutoa mimba ngapi. muulize? Inaonesha ni madhara ya utumiaji wa dawa za kuzuia mimba. Vidonge vya uzazi wa mpango vina madhara sana, lakini watu wabishi sana na kuendelea kutumia.
 
Kuna mambo kadhaa. Je alikwisha wahi kutoa mimba ngapi. muulize? Inaonesha ni madhara ya utumiaji wa dawa za kuzuia mimba. Vidonge vya uzazi wa mpango vina madhara sana, lakini watu wabishi sana na kuendelea kutumia.

she is very faithful, hajawahi toa mimba hata moja nimekua karibu nae kwa miaka kama nane hivi namfaham vizuri ila alishawahi tumia contraceptiv pills kama mara mili ivi kama njia ya kujikinga na mimba miaka kama mitano iliyopita coz dat time alikua girlfriend wangu. Nina uhakika hajawahi toa mimba
 


Basi mpeleke hospital. Ni tatizo hilo. Lakini hizo "Side effect" ni za utumiaji wa dawa uzazi wa mpango.
 
Nisha kwambia wacha hayo kwa upuzi wako kazana

mwanaume huwa " anakazana " au huwa " anakaza? " kiswahili chenyewe hujui sijui wewe mtanzania wa wapi. au mwenzetu ni asylum seeker?
 
mwanaume huwa " anakazana " au huwa " anakaza? " kiswahili chenyewe hujui sijui wewe mtanzania wa wapi. au mwenzetu ni asylum seeker?
Kunawatu hujisikia aibu kwa utanzania wake ok i'm optimistic, you do not tobe outdo of oratory
 
shukrani wadau kwa mashauri nayatafakari na kujua nianzie wapi. Ila wengi wananiambiaga kuwa hili ni chango la uzazi hebu nambieni je hospitali linatibika au lazima niende kwa tiba m badala?
 
Kunawatu hujisikia aibu kwa utanzania wake ok i'm optimistic, you do not tobe outdo of oratory

una bundle ya kutosha lakini ya kuendeleza ligi na mimi " poyoyo " wewe? nataka tukeshe sasa kuanzia sasa hadi asubuhi tupige ligi yetu hii.
 
Vip wew umepimwa hauna tatizo? Ngoja nikuitie doctor Nandi jr njo huku
 
Last edited by a moderator:
Vip wew umepimwa hauna tatizo? Ngoja nikuitie doctor Nandi jr njo huku

hosp tulienda wote nami nikapimwa na kuonekana niko ok walipofanya sperm analysis sa wametuambia kila baada ya miez miwili kama hajanasa tuwe tunarudi clinic sa maisha gani haya ndo mana nahitaji mawazo m badla labda kama kuna dr mtaalam zaidi
 
Last edited by a moderator:
wew umepimwa hauna tatizo?
Ngoja nikuitie doctor Nandi jr njo huku St
 

nendeni mkamuone gyna, uongee naye na wamfanyie vipimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…