Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
Habari humu ndani.
Jamani wataalam wa magonjwa ya kina mama naombeni mawazo yenu hapa juu ya afya ya mama watoto. Akikaribia bleed huwa anakua na mambo yafuatayo.
1. Zikibaki kama siku tano aingie hedhi tumbo linajaa sana unaweza sema ana mimba hata ya miezi mitatu ila akibleed tu linaisha kabisa anakua normal.
2. Akikaribia hedhi anatoka chunusi na uso unakua na rashes ila akimaliza anakua soft kama zamani.
3. Kuna kipindi tumbo linamuuma sana akikaribia kuingia.
4. Akikaribia kuingia eneo la kiuno linakua lamoto sana na kiuno kinakaza sana. Yani anachemka sana ila akianza tu panapoa.
5. Mara kwa mara anapata kichefu chefu na dalili zote za mimba lakini unashangaa ana bleed.
Niko nae mwaka sasa hajawahi kunasa mimba.
N. B nilishaenda hosp wakampima vipimo vya homoni wakasema yuko ok, kipimo cha mirija kile kinachouma sana wakasema yuko ok.
Sasa hata sijajua nifanye nini nafikiria kurudi tena hospital coz ni miezi miwili tangu afanyiwe vipimo.
Nahitaji mtoto jamani mwenye mawazo na kujua tiba ya hizi mambo tafadhali.
Amani iwe nanyi