Wataalamu wa mambo ya uzazi

kigori one

Senior Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
169
Reaction score
39
Habari wadau wa JF,

Naomba kujua; Je, ni vyakula vipi kwa mwanamke anaetarajia kupata ujauzito, au mwanamke anaejiandaa kutaka kupata ujauzito, Je aweze kutumia vyakula gani au dawa gani ili mayai yake ya uzazi yaweze kupevushwa kwa wingi zaid? Au kusababisha mayai yaweze kutoka mawili kwa mpigo?

Msaada wenu wataalamu! Kwa sababu mayai ya uzazi yakipevushwa kwa wingi possibility ya kupata ujauzito ni kubwa sana.

Asanteni..
 
Inahitaji yai moja tu......

Mayai yapevushwe kwa wingi unataka mapacha au??

Anyway kula balanced diet
 
Hata mimi kwa maelezo yake nilivyomuelewa anahitaji kupata mapacha.
 
atumie vdonge vya uzaz wa mpango ili kubalance homorne zake!!!!
 
Hizo dawa za kubalance mbona hamzitaji jamani!!! mwenzenu anataka msaada asaidiwe!!!!!
 
mayai mawili kwa mpigo haiwezekani... kupata mapacha kisayansi ni "bahati mbaya" yai moja linatosha. . baada ya fertilization pale ndio mechanisms flani zikienda mlama zygoye wawili wanatengenezwa na hatimaye mapacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…