kigori one
Senior Member
- Apr 14, 2014
- 169
- 39
Habari wadau wa JF,
Naomba kujua; Je, ni vyakula vipi kwa mwanamke anaetarajia kupata ujauzito, au mwanamke anaejiandaa kutaka kupata ujauzito, Je aweze kutumia vyakula gani au dawa gani ili mayai yake ya uzazi yaweze kupevushwa kwa wingi zaid? Au kusababisha mayai yaweze kutoka mawili kwa mpigo?
Msaada wenu wataalamu! Kwa sababu mayai ya uzazi yakipevushwa kwa wingi possibility ya kupata ujauzito ni kubwa sana.
Asanteni..