Zipo studies zinazosema kuwa kunywa kahawa kabla itakupa boost kwenye mazoezi.
Lakini zipo studies nyingine zinadai kuwa kahawa inaweza kuadhiri mtiririko wa damu kwenda kwenye moyo wakati wa mazoezi.
Kwa hiyo, hakuna jibu kamili. Do what you feel is right. Kama una wasiwasi then stick with water.
Jambo la mzingi hata kama kahawa inakufanya ujisikie kuendelea kufanya mazoezi zaidi, then ni bora ujikite na muda unaotakiwa na siyo kupiga mazoezi ya masaa mawili simply because you feel like you can do them.
Kuhusu kitu kukushika kiunoni, kwanza unafanya mazoezi ya aina gani? Kama ni mazoezi ya kunyanyua vitu vizito, do you do them properly? Huwa unapasha kwanza kabla ya kuanza mazoezi?
Hicho kitu huwa kinakushika tuu wakati unafanya mazoezi?
Kama kuna maumivu yoyote bora uwaone wahusika.