GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Nimeanzisha utaratibu wa kuanza kunywa kahawa
kabla ya kwenda mazoezini. Nimejikuta nikiwa mchangamfu
kupita kiasi na mwili kutamani kuendelea na mazoezi zaidi na
zaidi.
1. Je kwa utaratibu huu nakosea?
2. Niliacha mazoezi siku nyingi, siku hizi nikifanya
mazoezi kuna kitu kama kinashika maeneo ya Kiuno
na kunipa uzito, Je natakiwa kupata tiba yoyote?