Yaani hapa swali ilikua mwenye blue anashinda super kama anayeanza kucheza ni mwenye red?Nimechanganya rangi, mwenye blue ndo anaikata hiyo red ya mbele kabisa, kisha blue akicheza, red anasogeza kete yake upande wa kushoto game inaishia hapo.
Mwenye zamu ya kucheza ni mwenye red Kwa mujibu wa mleta mada.Yaani hapa swali ilikua mwenye blue anashinda super kama anayeanza kucheza ni mwenye red?
Kwahiyo wengi tunasema blue anashinda ila siyo super.
Red atafanyaje Ili asifungwe supa?Mwenye zamu ya kucheza ni mwenye red Kwa mujibu wa mleta mada.
Anakata ile kete ya mbele kabisa ambayo mwenye blue angeweza anza kuikata yeye.Red atafanyaje Ili asifungwe supa?
Blue nae anakata hii red ya chini kabisa, red anabaki na kete Moja ya kwanza kabisa, popote atakapocheza, blue nae anacheza upande wa kushoto, red Hana pakukimbilia tena.Anakata ile kete ya mbele kabisa ambayo mwenye blue angeweza anza kuikata yeye.
Kisha anatoka na ile ya nyuma kabisa
Kabla ya kukata blue, red si zamu yake basi anahonga hiyo kete upande wa kulia kabla haijakatwaBlue nae anakata hii red ya chini kabisa, red anabaki na kete Moja ya kwanza kabisa, popote atakapocheza, blue nae anacheza upande wa kushoto, red Hana pakukimbilia tena.
Blue nae anakata hii red ya chini kabisa, red anabaki na kete Moja ya kwanza kabisa, popote atakapocheza, blue nae anacheza upande wa kushoto, red Hana pakukimbilia tena.
Swali lako halijakamilika, Sema mchezo upo kwa nani na kanuni zipi zinatumika, French au nini?Nimekuta watu wanacheza draft na wanabishana kuwa hilo ni supa.Nikaamua kupiga picha hiyo niwaulize je hili ni supa au sio supa?
ZAMU YA MWENYE NYEKUNDU
View attachment 995749
Hapo sawaSiyo super.
Anatema kete ya mbele kwa upande wa meja ndogo.
Kisha anatoka na ile nyekundu ya kule nyuma.
Mwenye bluu akicheza kete iliyokatwa ili aende king ni atashinda bila mwenye nyekundu kuiona king.
Akileta mapepe kucheza hii ya nyuma kabisa atashinda kwa kete 3.
Zamu ya nyekundu kucheza, British ruleSwali lako halijakamilika, Sema mchezo upo kwa nani na kanuni zipi zinatumika, French au nini?
Ni sare kwa namna yoyote ile.Zamu ya nyekundu kucheza, British rule