Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

Hilo ni supa.

Nyekundu anacheza kete ya nyuma.

Wa blue anakata. Anamngoja nyekundu acheze popote.

Halafu anambana.

Je wa nyekundu akianza kwa kuitema hiyo ya kukatwa halafu akatoka na ile ya nyuma?
 
[emoji4][emoji4][emoji4]
tapatalk_1542131904793.jpeg
 
Sasa utamzuia kwenda king?

Hebu iangalie vizuri uone kama haiendi king.
Hii ya rangi nyekundu iliyokua inazuiwa na ya meja ikianza kutembea unaiacha itakuja kuzuiwa na hii kete ya blue ya chini huku
 
Ile ya nyuma ikija moja kwa moja itafika kwenye main road na hapo watapeana migongo na kete inayoelekea king. Na ile inayoelekea king ndiyo itakuwa imeanza kufika kwenye main.

Unachofanya unaigawa hii ya main kwa ya main, halafu utacheza ile inayoenda king kuelekea main pia. Mpaka unafika king atakuwa bado anambwela huku chini, unaanza kula mafao kwà kikokotoo cha zamani.

Jaribu kuangalia huu mchoro hapo chini na uupigie hesabu upya.

View attachment 996048
Hapo sawa mkuu. Kwa move hiyo lazima goli.
 
Back
Top Bottom