wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 389
- 607
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Namaanisha kama hawalijui basi yeyote anaweza kujinga Supa.. Bado hujaelewa tu We MAiTi!Unacheza wapi ili usifungwe supa?
Yes, ni goli la kawaida sio super lkn.Wee kibonde kweli.Hakuna draw hapo
Hakuna kete ya kuuza hapo mkuu kaa ile kete ya nyuma itasukumwa direct mstari uleule hadi Kingi na haitozuirika.
king hufiki mkuu........maana hapo yeye atakimbiza kingi hii iliyo jirani.......View attachment 995776
Unaanza kumpa hii ya upande wa kulia apande juu, then unavuta ile ya nyuma kuileta hapa zipangane na mwenzake.
2 kwa 2 zinabaki, hapo lazima akimbilie king.
hapo hata yeye akitangulia kutema hio bluu ya kushoto bado utamuwahi kukaba hio angle kabla yeye hajaingia kingIle ya nyuma ikija moja kwa moja itafika kwenye main road na hapo watapeana migongo na kete inayoelekea king. Na ile inayoelekea king ndiyo itakuwa imeanza kufika kwenye main.
Unachofanya unaigawa hii ya main kwa ya main, halafu utacheza ile inayoenda king kuelekea main pia. Mpaka unafika king atakuwa bado anambwela huku chini, unaanza kula mafao kwà kikokotoo cha zamani.
Jaribu kuangalia huu mchoro hapo chini na uupigie hesabu upya.
View attachment 996048
king hufiki mkuu........maana hapo yeye atakimbiza kingi hii iliyo jirani.......
yeye anakua na hatua nne ili afike king (mind you ataingia major).....
wewe una hatua nne mpk ufikie kete yake hio njian,,,,,,, there is no way utafika king
Huu uzi kama nilishawahi kukoment ila siioni comment yenyewe. Atakayeiona anitag
Mkuu we fundi kwenye huu mchoze..........Ile ya nyuma ikija moja kwa moja itafika kwenye main road na hapo watapeana migongo na kete inayoelekea king. Na ile inayoelekea king ndiyo itakuwa imeanza kufika kwenye main.
Unachofanya unaigawa hii ya main kwa ya main, halafu utacheza ile inayoenda king kuelekea main pia. Mpaka unafika king atakuwa bado anambwela huku chini, unaanza kula mafao kwà kikokotoo cha zamani.
Jaribu kuangalia huu mchoro hapo chini na uupigie hesabu upya.
View attachment 996048
Mkuu we fundi kwenye huu mchoze..........
Nmelike hapo kwa kuanza kujilia mafao kwa kikokoto Cha zamani baada ya kutika kingi
Sent using Jamii Forums mobile app