Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

Hilo ni goli la kete tatu. Huyo mwekundu anauza hii kete ya mbele halafu anapanda na ile ya nyuma.
 
Hatapata droo, atakufa kwa kete tatu. Maana ile aliyogawa juu kule itawahi kwenda king njia kuu.

Na yeye ni lazima auze nyingine ili afike king.
Kete tatu kwa mbili utamfunga nani?
 
Nakuja na kete nyekundu ya nyuma straight. Mwenye blue aniambie anasukuma ipi tuendelee.
 
Nakuja na kete nyekundu ya nyuma straight. Mwenye blue aniambie anasukuma ipi tuendelee.

Ukianza hivyo mwenye blue anakata hii ya kulia. Unabaki na step moja ya hiyo uliyoanza nayo, kokote utakapoenda yeye anakata kushoto kukufuata.

Angalia huo mchoro chini

Screenshot_20190116-044204.jpg
 
Akianza kucheza mwenye NYEKUNDU hilo ni clear super anafungwa,ila kama ni zamu ya mwenye BLUE ,hiyo inakuwa suluhu.
 
Back
Top Bottom