Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 478
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tufanye mimi nina nyekundu ,utanifunga supa?Mmhh wewe umekuja kinyume kabisaa akianza mwenye nyekundu ni super haina ubishi ila akianza mwenye blue ni sare
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo goli la kawida kwa ninavyoonaView attachment 995776View attachment 995776
Unaanza kumpa hii ya upande wa kulia apande juu, then unavuta ile ya nyuma kuileta hapa zipangane na mwenzake.
2 kwa 2 zinabaki, hapo lazima akimbilie king.
Hapo goli la kawida kwa ninavyoona
Hahahahah ila ni goli la kete 3View attachment 995776View attachment 995776
Unaanza kumpa hii ya upande wa kulia apande juu, then unavuta ile ya nyuma kuileta hapa zipangane na mwenzake.
2 kwa 2 zinabaki, hapo lazima akimbilie king.
Huku kanda ya ziwa hatuna super sisi tunakula mbele na nyumaNimekuta watu wanacheza draft na wanabishana kuwa hilo ni supa.Nikaamua kupiga picha hiyo niwaulize je hili ni supa au sio supa?
ZAMU YA MWENYE NYEKUNDU
View attachment 995749
Goli la kete tatu kama unaju vizuri kukimbiaMkuu tufanye mimi nina nyekundu ,utanifunga supa?
Nimeona ni goli la kete 3Mimi ndo naanza, naikupa moja kwa moja kabla ya wewe kukata halafu natoka na ile ya nyuma.
Soma mchoro nimeweka hapo.
Kete tatu lazima kwakuwa utagawa 2 na hauli kete yoyote hapoHakuna kete tatu?
Hamna ngoja nilione tenaWewe ukiwa na nyekundu kwangu hata king huendi
Hili bao leo limejaza watu Ukonga Mzambarauni