Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla hamjajadili ulizeni kwanza mwenye zamu ya kuchezaHakuna droo, akianza kutoka na ile ya nyuma, mwenzake anaikata hii iliyo upande wa kulia.
Kwa hiyo ile ya nyuma ikivutika mara moja na hii iliyomkata mwenzake inapin moja kwa moja.
Una ubingwa gani kama umeshindwa tu kuuliza mwenye zamu ya kucheza??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa zamu ya mwenye nyekundu super haikwepeki mkuu labda awe anacheza asiye jua kabisa
Nimekuta watu wanacheza draft na wanabishana kuwa hilo ni supa.Nikaamua kupiga picha hiyo niwaulize je hili ni supa au sio supa?
ZAMU YA MWENYE NYEKUNDU
View attachment 995749
Hapo super inategemea na kete atakayosukuma uyo wekundu
2.akimpa ya mbele ale kwa kwenda juu ya kulia anamtoa kwenye formation ya attack so anakuwa amekwepa super inakuwa droo
Hiyo ni super haina mjadalaMwenye zamu ashatajwa kwenye swali.Anayetakiwa kucheza hapo ni mwenye nyekundu
Hana kete ya kuuza hapo limeisha hiloHatapata droo, atakufa kwa kete tatu. Maana ile aliyogawa juu kule itawahi kwenda king njia kuu.
Na yeye ni lazima auze nyingine ili afike king.
Kwahiyo super?
Hahhahahah pole sana kama hujui lala tuHizo kazi tuachie mafundi, wewe kazi yako ni kutushikia kete.
Mmhh wewe umekuja kinyume kabisaa akianza mwenye nyekundu ni super haina ubishi ila akianza mwenye blue ni sareakiaanza mwenye blue ni supa. akianza nyekundi.droo..