Hapo game over.Ukianza hivyo mwenye blue anakata hii ya kulia. Unabaki na step moja ya hiyo uliyoanza nayo, kokote utakapoenda yeye anakata kushoto kukufuata.
Angalia huo mchoro chini
View attachment 995796
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo game over.Ukianza hivyo mwenye blue anakata hii ya kulia. Unabaki na step moja ya hiyo uliyoanza nayo, kokote utakapoenda yeye anakata kushoto kukufuata.
Angalia huo mchoro chini
View attachment 995796
Ndio, mwenye kete nyekundu anaweza kukwepa "supa" kama tu mwenye kete za bluu atafanya makosa.Nimekuta watu wanacheza draft na wanabishana kuwa hilo ni supa.Nikaamua kupiga picha hiyo niwaulize je hili ni supa au sio supa?
ZAMU YA MWENYE NYEKUNDU
View attachment 995749
Hakuna kete ya kuuza hapo mkuu kaa ile kete ya nyuma itasukumwa direct mstari uleule hadi Kingi na haitozuirika.Hatapata droo, atakufa kwa kete tatu. Maana ile aliyogawa juu kule itawahi kwenda king njia kuu.
Na yeye ni lazima auze nyingine ili afike king.
Sare sio supaNimekuta watu wanacheza draft na wanabishana kuwa hilo ni supa.Nikaamua kupiga picha hiyo niwaulize je hili ni supa au sio supa?
ZAMU YA MWENYE NYEKUNDU
View attachment 995749
Supa inawezekana kama wachezao ni maboya. Kwa sisi tunaolijua hapo "No Supa"Nimekuta watu wanacheza draft na wanabishana kuwa hilo ni supa.Nikaamua kupiga picha hiyo niwaulize je hili ni supa au sio supa?
ZAMU YA MWENYE NYEKUNDU
View attachment 995749