frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 590
- 1,494
Habari wakuu poleni na majukumu, Nina mambo kadhaa hapa naomba kushare na nyie... sana sana wataalamu wa ndoto na watabiri.
Kwanza, Ndani ya hizi siku mbili mfululizo Nimeota Ndoto ikihusu Maji kujaa ama mafuriko, ndoto ya kwanza niliota nipo kando ya bahari imejaa mpaka makazi ya watu nkavuka bahari kwenda upande wa pili nakutana na waziri mkuu majaliwa
kesho yake tena, nikaota napita pembeni mto umejaa mpaka makazi ya watu maji yamejaa kwenda mbele nakutana na ndugu yangu aliekamatwa na polisi kaachiwa
Je wewe ushawahi kukutana na ndoto kama hizo au zinaendana na hizo.
Watafsiri wa ndoto naomba mnisaidie.