frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 590
- 1,494
Utavuka vikwazo kuyafikia mafanikio yako, bahari au mto ndotoni Ni vikwazo,Habari wakuu poleni na majukumu, Nina mambo kadhaa hapa naomba kushare na nyie... sana sana wataalamu wa ndoto na watabiri.
Kwanza, Ndani ya hizi siku mbili mfululizo Nimeota Ndoto ikihusu Maji kujaa ama mafuriko, ndoto ya kwanza niliota nipo kando ya bahari imejaa mpaka makazi ya watu nkavuka bahari kwenda upande wa pili nakutana na waziri mkuu majaliwa
kesho yake tena, nikaota napita pembeni mto umejaa mpaka makazi ya watu maji yamejaa kwenda mbele nakutana na ndugu yangu aliekamatwa na polisi kaachiwa
Je wewe ushawahi kukutana na ndoto kama hizo au zinaendana na hizo.
Watafsiri wa ndoto naomba mnisaidie.
Shukran mkuuNehma
Shukran sana mkuuUtavuka vikwazo kuyafikia mafanikio yako, bahari au mto ndotoni Ni vikwazo,
Sasa huenda Kuna vikwazo ambavyo MUNGU ANAKUONESHA, NA HAKIKA UTAVIVUKA
OMBA SANA MAANA USHINDI WA JAMBO NI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO.
kama ulipanda, uta ota...ukilala na njaa utaota kweli
sawa mkuuHakuna maana yoyote katika ndoto zako
ukran mkuuKama ni mfanyakaz tarajia kupanda cheo Kama ni mfanya biashara tarajia mipango yako kukamilika na kupata kiapato kikubwa
Na Mimi niliyeota na kunywa maji mengi na masafi bila kiu kuisha maana yake Ni Nini?Utavuka vikwazo kuyafikia mafanikio yako, bahari au mto ndotoni Ni vikwazo,
Sasa huenda Kuna vikwazo ambavyo MUNGU ANAKUONESHA, NA HAKIKA UTAVIVUKA
OMBA SANA MAANA USHINDI WA JAMBO NI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO.