Wataalamu wa mifugo, Msaada tafadhali

Wataalamu wa mifugo, Msaada tafadhali

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days (injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
 
Mkuu umetibu ugonjwa upi? Alikua na dalili gani ambazo zimekushawishi utumie Penisterp?

Jifunze kuandka ukianza na historia ya ugonjwa, dalili, umri wa mnyama, jinsia yake nk
Itasaidia wataalamu wa mifugo kujua wanakushauri vip
 
mastitis, sorry nililifuta hili neno inadvertently.

Mastitis kwenye quarter moja ambayo ilikuwa inatoa lita tatu asubuhi za maziwa. Jioni kama 2.
Jike limezaa mara mbili na sasa ana mimba ya miezi sita.
 
Nikweli angejielezea sawa sawa hata mji aliopo iwe rahisi hata kumpatia number za vet walio karibu
Mastitis kwenye quarter moja ambayo ilikuwa inatoa lita tatu asubuhi za maziwa. Jioni kama 2.
 
Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days( injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
Nilikuwa Na Ng’ombe wangu alikuwa ana changamoto hiyo hiyo tulimchoma sindano Penstrep dozi ya Siku 3 Maziwa yaliendelea kuwa kama yana MAJI japo yalikuwa Na unafuu lakini Siyo ya kuuza Maziwa.

Baada ya miezi 2 kama sikosei kuna ugonjwa wa kwato kunyofoka uliingia eneo letu na Ng’ombe wangu aliupata ugonjwa. Daktari wa mifugo alikuja tukamchoma Sindano mguuni kati kati ya kwato, sijui ni dawa gani alikuja nayo Daktari nilishangaa baada ya Siku 3 Maziwa yamerudi kwenye ubora wake.
 
Mine was worse maana kulikuwa na vitu kama makamasi kwenye titi moja (sasa hiyo hali imepotea) na kuanza kuwa safi, lakini badi maziwa hayajawa safi kama mwanzo.

By the way nadhani sindani ya kwenye kwato ni kutibu huo ugonjwa wa miguu na midomo (Foot and mouth disease (FMD))
 
Umeshawahi kujaribu kumkandia majani ya mnyonyo ?walati unaendelea na doz ya wazungu jaribu kuchukua majani myonyo kisha yachemshe hadi maji yandili rangi kisha mkandie kwenye hizo chuchu kwa siku 3 hadi 4 asbuhi na jioni kisha uje uyapime maziwa .

Na jitahidi sana usafi na ukimkamua hakikisha unayamaliza kabisa maziwa yote na kabla ya kumkamua msafishe kwa maji ya moto
 
Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days( injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
Kuna dawa inaitwa Baklim ina sulpher kwa ichsnganye na dilstiles water nadhani 10mls sikumbuki hizuri ila ilisaidia wakwangu pole
 
Mkuu; ng'ombe wako amepona?
 
Kuna dawa inaitwa Baklim ina sulpher kwa ichsnganye na dilstiles water nadhani 10mls sikumbuki hizuri ila ilisaidia wakwangu pole
Ahsante kesho naamkia dukani
 
Umeshawahi kujaribu kumkandia majani ya mnyonyo ?walati unaendelea na doz ya wazungu jaribu kuchukua majani myonyo kisha yachemshe hadi maji yandili rangi kisha mkandie kwenye hizo chuchu kwa siku 3 hadi 4 asbuhi na jioni kisha uje uyapime maziwa .

Na jitahidi sana usafi na ukimkamua hakikisha unayamaliza kabisa maziwa yote na kabla ya kumkamua msafishe kwa maji ya moto
Ok asante nitajaribu kesho. nakanda sana asubuhi na jioni kwa nguvu sana. Kuna some development lakni very slow! Chuchu inyoumwa ilikuwa inatoa lita tatu asubuhi, sasa inatoa robo with some flakes. Ana chuchu tano!
 
Salam kwenu wakuu.

Hili tatizo la mastiti ni miongon mwa matatizo yanayowasumbua sana wafugaji hasa wa ng'ombe wa maziwa. Mfugo ajipatwa na tatizo hili kazima kiwango cha maziwa kupungua na kufanya uharibifu wa maziwa kama mtu atachelewa kubain tatizo hilo mapema na kuchanganga na mengine.

Maranying tatizo hili linazuiwa ama kupunguzwa na usafi wa banda. Ukizingatia usafi na ukavu wa banda hasa sehemu za malazi inapunguza. Pia kupaka chuchu za ng'ombe mafuta baada ya kukamua.
 
Back
Top Bottom