mastitis, sorry nililifuta hili neno inadvertently.Mkuu umetibu ugonjwa upi? Alikua na dalili gani ambazo zimekushawishi utumie Penisterp?
Jifunze kuandka ukianza na historia ya ugonjwa, dalili, umri wa mnyama, jinsia yake nk
Itasaidia wataalamu wa mifugo kujua wanakushauri vip
Mastitis kwenye quarter moja ambayo ilikuwa inatoa lita tatu asubuhi za maziwa. Jioni kama 2.Nikweli angejielezea sawa sawa hata mji aliopo iwe rahisi hata kumpatia number za vet walio karibu
Nilikuwa Na Ng’ombe wangu alikuwa ana changamoto hiyo hiyo tulimchoma sindano Penstrep dozi ya Siku 3 Maziwa yaliendelea kuwa kama yana MAJI japo yalikuwa Na unafuu lakini Siyo ya kuuza Maziwa.Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days( injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
Mine was worse maana kulikuwa na vitu kama makamasi kwenye titi moja (sasa hiyo hali imepotea) na kuanza kuwa safi, lakini badi maziwa hayajawa safi kama mwanzo.Nilikuwa Na Ng’ombe wangu alikuwa ana changamoto hiyo hiyo tulimchoma sindano Penstrep dozi ya Siku 3 Maziwa yaliendelea kuwa kama yana MAJI japo yalikuwa Na unafuu lakini Siyo ya kuuza Maziwa.
Baada ya miezi 2 kama sikosei kuna ugonjwa wa kwato kunyofoka uliingia eneo letu na Ng’ombe wangu aliupata ugonjwa. Daktari wa mifugo alikuja tukamchoma Sindano mguuni kati kati ya kwato, sijui ni dawa gani alikuja nayo Daktari nilishangaa baada ya Siku 3 Maziwa yamerudi kwenye ubora wake.
Kuna dawa inaitwa Baklim ina sulpher kwa ichsnganye na dilstiles water nadhani 10mls sikumbuki hizuri ila ilisaidia wakwangu poleNimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days( injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
Mkuu; ng'ombe wako amepona?Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days( injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
bado, chuchu moja hiyo inayoumwa ilikuwa inatoa lita tatu asubuhi pekee, sasa inatoa robo! with some flakes in the milk.Mkuu; ng'ombe wako amepona?
Ahsante kesho naamkia dukaniKuna dawa inaitwa Baklim ina sulpher kwa ichsnganye na dilstiles water nadhani 10mls sikumbuki hizuri ila ilisaidia wakwangu pole
Ok asante nitajaribu kesho. nakanda sana asubuhi na jioni kwa nguvu sana. Kuna some development lakni very slow! Chuchu inyoumwa ilikuwa inatoa lita tatu asubuhi, sasa inatoa robo with some flakes. Ana chuchu tano!Umeshawahi kujaribu kumkandia majani ya mnyonyo ?walati unaendelea na doz ya wazungu jaribu kuchukua majani myonyo kisha yachemshe hadi maji yandili rangi kisha mkandie kwenye hizo chuchu kwa siku 3 hadi 4 asbuhi na jioni kisha uje uyapime maziwa .
Na jitahidi sana usafi na ukimkamua hakikisha unayamaliza kabisa maziwa yote na kabla ya kumkamua msafishe kwa maji ya moto
amepona, lakini the affected quarter of the udder ambayo ilikuwa inatoa lita tatu peke yake in the morning, sasa inatoa hardly nusu lita!Mkuu; ng'ombe wako amepona?