jinsia yako? umri?
unafanya kazi gani?
umewahi kupata ajali?
mara nyingi matatizo ya mgongo kuuma hutokana ma imbalance ya forces zinazosababisha joints za mgongo ziwe stable.
forces hizo huunganishwa kutoka sehemu za misuli, mifupa nk.
hizo husababisha mwili uweze kubalance uzito in relation to the joint.
ikitokea shida sehemu mojawapo basi uzito wa mwili huelemea upande mmoja na kusababisha mtu awe anapata maumivu makali kwa ule upande ulioelemewa.
matibabu yake ni mazoezi maalumu na dawa za kupunguza maumivu.
hakuna matibabu ya kuondoa tatizo kwani limeanza muda mrefu na imbalance imeshatokea.
tiba inayotolewa ni kumfanya mtu aishi comfortable life!!