Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Nina maumivu makali sana ya kiuno kwa muda sasa nimeenda hospital nimefanyiwa vipimo mbalimbali hadi XRAY nikapewa dawa kadhaa za kupaka na kumeza, leo cku ya tatu tangu nianze dozi lkn sioni mabadiliko yoyote,

Hayo ni majibu ya xray,
Naomba mnisaidie jinsi ya kufanya nipone haraka maana hata kazi nimesimama kwa mda kwa sababu ya ugonjwa,
Nijuzeni aina za tiba na mazoezi yanayohitajika ili nipone haraka,
Nawasilisha kwenu ma Dr wa humu jf.