Hiyo 16% ni riba ya mwaka mmoja.Ukikopa Bank 20M kwa riba 16% kwa muda wa miaka 9(miezi 108) unalipa 37,854,541.16, kwa ufupi ni kama M38 hivi..
Hii ni kutokana na kikokotoo cha loan calculator, View attachment 2859258
Sasa nataka nijue hii kimahesabu inakujaje?
Maana wao automatic tuu wanakuletea hivyo.
Hata ukijaribu ile hesabu ya kawaida ya
I = PRT/100,
Hupati hilo jibu..
Mikopo ni Janga.
Moto Wa Gas Unachoma Chap ChapJanuari ya moto kweli kweli
NakaziaRiba karibu 18m
Mikopo ni kujiongezea umasikini
3.5% kwa mwezi ni 42% kwa mwaka.Interest kwa mwezi haitakiwi kuzidi 3.5% reducing balance, kwa mujibu wa B.O.T
So anachukua mkopo wa 20m analipa riba 18m dah! Ni kama nusu kwa nusu walahiRiba karibu 18m
Mikopo ni kujiongezea umasikini
Hivi kibihashara Milioni 20 inaweza zalisha 500k kwa mwezi??So anachukua mkopo wa 20m analipa riba 18m dah! Ni kama nusu kwa nusu walahi
Ila miaka 9 parefu napo
Shukrani Sana Hapo Uamuzi Afanye YeyeUnataka hesabu?
Tufanye hesabu,
Chukua hii formula
r [ (1 + r) ^d ]
R = M ————————
[ (1 + r)^ d -1]
Let
R = Rejesho lako kwa mwezi = ?
M = Mkopo uliokopa = 20,000,000
r = riba ya mkopo = 16%
d = muda wa mkopo kwa miezi = miak 9
^ = hio ni raise/power, ikimaanisha hio d iko raised
Twende kimahesabu..
r = 16% , hii inabidi uiondoe kwenye asilimja halafu uigawanye kwa mwaka..
Hivyo
r = 16÷100 = 0.16/12 = 0.0133333333
d = 9, hii unachukua miaka 9 unazidisha kwa miezi(9×12=108)
R = 20,000,000 × 0.0133333333 (1+0.0133333333)^108 ÷ (1+0.0133333333)^108 - 1
= 350,505.016, ukiikadiria ndio inakuja 350,505.02 unayoiona hapo kwenye chart yako.
Hio sasa ndio rejesho lako la kila mwezi..
Ukilizidisha kwa Muda wote wa mkopo
350,505.016 × 108 = 37,854,541.728
ndio hio unayoiona hapo mzee baba.
Nusu kwa nusu hiyo mkuuSo anachukua mkopo wa 20m analipa riba 18m dah! Ni kama nusu kwa nusu walahi
Ila miaka 9 parefu napo
Hio inazalisha vizuri kabisa, labda kama ilivunywa vunjwa sana, yaani namaanisha ilitumika labda kwenye ukarabati, kodi, matengenezo na maandalizi ya biashara hio ila kama yote imeingia kwenye mzunguko..Hivi kibihashara Milioni 20 inaweza zalisha 500k kwa mwezi??