reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Biashara inatakiwa ikupe at least 10% ya pesa uliyowekeza kwa mwezi,Hivi kibihashara Milioni 20 inaweza zalisha 500k kwa mwezi??
Hivyo hio akicheza vzr 2M anaingiza..
Mda mwingine ukiona pesa yako ni kubwa kwa bishara moja kwa eneo na nature ya wateja ulionao, igawanye kwa biashara tofauti,
Kikubwa zikupe 10%