Biashara inatakiwa ikupe at least 10% ya pesa uliyowekeza kwa mwezi,Hivi kibihashara Milioni 20 inaweza zalisha 500k kwa mwezi??
Ukiwa na 20M isipozalisha 500k kwa mwezi we hustahili kuwa hata kiongozi wa wajinga. Watu laki 5 inazalisha laki 2 kwa mwezi leo unaulizia 20M kuzalisha 500k kwa mwezi?Hivi kibihashara Milioni 20 inaweza zalisha 500k kwa mwezi??
Kwa biashara ya uhakika na yenye usimamizi mzuri, hiyo laki 5 kwa mwezi bado ni hela ndogo sana.Hivi kibihashara Milioni 20 inaweza zalisha 500k kwa mwezi??