Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante bujibujiWhitney Houston![]()
Dracaena trifasciata - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Tutajie mazuri hayo mkuu.naufahamu sana panda nje pembeni ya mlango wako kwa kulia na kushoto ni migumu sana kushika chini lakini faida yake ni kubwa mno yapo mazuri yake mengi tu
Kweli Atutajie hayo mazuri tuyajue.Au tumuite na MziziMkavu,pengine anajua mengi pia juu ya huu mmeaTutajie mazuri hayo mkuu.
ni miongoni mwa lucky plant chini yake waweza panda shamrock plants kukazia na utaanza ana maajabu yake wepesi wa kila jambo maishani [kila ukionacho kuanzia mimea hadi wadudu huwa namaana great works ipo kungamua or intelegency to know its works ]Tutajie mazuri hayo mkuu.
je!Na upande wa matibabu huu mmea umekaaje?ni miongoni mwa lucky plant chini yake waweza panda shamrock plants kukazia na utaanza ana maajabu yake wepesi wa kila jambo maishani [kila ukionacho kuanzia mimea hadi wadudu huwa namaana great works ipo kungamua or intelegency to know its works ]
ingependeza ungeweka na iyo picha ya shamrock ili twende sawani miongoni mwa lucky plant chini yake waweza panda shamrock plants kukazia na utaanza ana maajabu yake wepesi wa kila jambo maishani [kila ukionacho kuanzia mimea hadi wadudu huwa namaana great works ipo kungamua or intelegency to know its works ]
Huo unaitwa White snake. Au Wild Alovera au MSHUBIRI MWITUWadau, kwema?,naomba kwa anayefaham mmea huu anisaidie unaitwaje
View attachment 1657644
Hata Huo Ni Alovera lakini Ni wild Aloveraaloe yenyewe ina miba imezunguka pembeni,halafu ni kijani kibichi.Kuna mdau hapo juu ameisha nisaidia jina la mmea
NoAloe vera
Fafanua faida zake isije ikawa unakaribisha wachawi ndani!naufahamu sana panda nje pembeni ya mlango wako kwa kulia na kushoto ni migumu sana kushika chini lakini faida yake ni kubwa mno yapo mazuri yake mengi tu
Wild Alovera hiyo Ni MSHUBIRI MWITU HUO AU MSHUBIRI PORI