Wataalamu wa Mu- Alovera saidieni

Wataalamu wa Mu- Alovera saidieni

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Naomba mtusaidie kuna ukweli katika hili? eti kuna mtu kanipa habari kwamba kunywa dawa ya kienyeji ya alovera inasababisha ugonjwa wa Ini ...ni kweli jamani?
 
Ni kweli ukinywa kama ilivyochungu inaleta matatizo ya ini na ndomaa ukinywa iliyokuwa imetengenezwa kitaalam huwezi kusikia uchungu mkali kama unayochuma na kutumbukiza kwenye maji.

Bibi yangu nilikuwa naona anaichemsha kwenye maji then anachukua hayo maji anachanganya na asali Kwa wingi ndo tunatumia. So ufate ushauri wa kitaalamu ndo utengeneze kutumia na kama huwezi kanunue.
 
Naomba mtusaidie kuna ukweli katika hili? eti kuna mtu kanipa habari kwamba kunywa dawa ya kienyeji ya alovera inasababisha ugonjwa wa Ini ...ni kweli jamani?
Aliye kuambiakuwa Aloe Vera ukinywa inaweza kusababisha upate ugonjwa wa inini muongo huyo wala hajuwi dawa hiyo ya Aloe Vera. Nijuavyo mimi Dawa ukila kwa wingi pasipo na vipimo maalumu unaweza kudhurika haswa hiyo Aloe Vera ukinywa kwa wingi inaweza kukudhuru figo sio ini mkuu Rweye Soma hapa chini Madhara kwa kutumia Aloe Vera.


aloe Side Effects & Safety

Aloe gel is LIKELY SAFE when applied to the skin and POSSIBLY SAFE when taken by mouth in adults. Once in a while aloe gel might cause burning and itching of the skin.

Taking aloe latex is POSSIBLY UNSAFE at any dose, but LIKELY UNSAFE when taken in high doses. Aloe latex can cause some side effects such as stomach pain and cramps. Long-term use of large amounts of aloe latex might cause diarrhea, kidney problems, blood in the urine, low potassium, muscle weakness, weight loss, and heart disturbances. Taking aloe latex 1 gram per day for several days can be fatal.

There have been a few reports of liver problems in some people who have taken an aloe leaf extract; however, this is uncommon. It is thought to only occur in people who are extra sensitive (hypersensitive) to aloe.

Special Precautions & Warnings:

Pregnancy or breast-feeding:
Aloe -- either gel or latex -- is POSSIBLY UNSAFE when taken by mouth. There is a report that aloe was associated with miscarriage. It could also be a risk for birth defects. Do not take aloe by mouth if you are pregnant or breast-feeding.

Children: Aloe is POSSIBLY UNSAFE for children when taken by mouth. Children younger than 12 years old may experience abdominal pain, cramps, and diarrhea.

Diabetes: Some research suggests aloe might lower blood sugar. If you take aloe by mouth and you have diabetes, monitor your blood sugar levels closely.

Intestinal conditions such as Crohn's disease, ulcerative colitis, or obstruction: Do not take aloe latex if you have any of these conditions. Aloe latex is a bowel irritant. Remember, products made from whole aloe leaves will contain some aloe latex.

Hemorrhoids: Do not take aloe latex if you have hemorrhoids. It could make the condition worse. Remember, products made from whole aloe leaves will contain some aloe latex.

Kidney problems: High doses of aloe latex have been linked to kidney failure and other serious conditions.

Surgery: Aloe might affect blood sugar levels and could interfere with blood sugar control during and after surgery. Stop taking aloe at least 2 weeks before a scheduled surgery.

1024px-Aloe_Vera.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom