Wataalamu wa ndoto mpo wapi? Njooni mnipe tafsiri

Wataalamu wa ndoto mpo wapi? Njooni mnipe tafsiri

Oya Tusepe

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
265
Reaction score
870
Habari wakuu.

Nimeota naoneshwa na mtu wa kawaida tu na 60 60, ni kwamba 60 moja imeandikwa juu ya nyingine.

Kisha akaniambia, KIJANA HUO NDIO MWISHO WAKO.

Note: Ni kwa watu wenye uelewa wa ndoto pekee
 
Chukulia poa tu ,then potezea .

Ukitaka kufikiri ni jambo baya litakutokea kama ulivyowaza.
 
piga goti omba mungu akuepushie mbali kila aina la balaa hakuna zaidi yake
 
Back
Top Bottom