Oya Tusepe JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 265 Reaction score 870 Jan 21, 2024 #1 Habari wakuu. Nimeota naoneshwa na mtu wa kawaida tu na 60 60, ni kwamba 60 moja imeandikwa juu ya nyingine. Kisha akaniambia, KIJANA HUO NDIO MWISHO WAKO. Note: Ni kwa watu wenye uelewa wa ndoto pekee
Habari wakuu. Nimeota naoneshwa na mtu wa kawaida tu na 60 60, ni kwamba 60 moja imeandikwa juu ya nyingine. Kisha akaniambia, KIJANA HUO NDIO MWISHO WAKO. Note: Ni kwa watu wenye uelewa wa ndoto pekee
nyamatongo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 492 Reaction score 664 Jan 21, 2024 #2 Kila siku mnaambiwa msieleze ndoto ulioota kwa mtu yeyote, mtaelewa lini.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jan 21, 2024 #3 nimelia sana aisee😢😿
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Jan 21, 2024 #4 Chukulia poa tu ,then potezea . Ukitaka kufikiri ni jambo baya litakutokea kama ulivyowaza.
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,357 Reaction score 3,835 Jan 21, 2024 #5 piga goti omba mungu akuepushie mbali kila aina la balaa hakuna zaidi yake
harakati za siri JF-Expert Member Joined Aug 23, 2020 Posts 1,074 Reaction score 2,870 Jan 21, 2024 #6 Labda ni umri, kama ni muombaji omba tena utapewa maana, inaweza isije waziwazi pia ikaja kwa fumbo.