Mkuu punguza mwanga tuNiliweka pointer kwenye betri pale ikasoma masaa 3
Wakati unatest dukani hio ni standby time, wakati ule haifanyi kazi ndio maana ika onesha huo muda. Ulitakiwa pale pale dukani urun kitu heavy.Habar za majukumu wana jamvi,
Kwa wale wataalamu wa pc msaada wenu plz
Nimenunua pc aina ya hp 450, wakati nainunua pale dukan , niliiangalia betri yake ili niweze kujua kwamba inakaa na chaji?
Ilinionesha kwamba chaji inakaa masaa matatu na dk 40. (03:40)
Lakini baada ya kufika om na kuanza kuitumia nikagundua chaji inaisha ndani ya lisaa limoja
Sasa mpaka wakati huu nashindwa kuelewa, nini kinapelekea chaji kuisha ndan ya muda mfup wakati inaonesha ni masaa 3;40?
Mwenye uelewa kidogo juu ya changamoto hii anisaidie tafadhal
Hapa ndo umeongea mkuu, hao wa mwanga watapoteza na wengine wakija nunua PC, kwa mtindo huu.Wakati unatest dukani hio ni standby time, wakati ule haifanyi kazi ndio maana ika onesha huo muda. Ulitakiwa pale pale dukani urun kitu heavy.
Kwa hyo kk hapo tufanye nn tukiwa tunanunua PC il kutest bateryWakati unatest dukani hio ni standby time, wakati ule haifanyi kazi ndio maana ika onesha huo muda. Ulitakiwa pale pale dukani urun kitu heavy.
Run kitu heavy chochote, simulate matumizi yako.K
Kwa hyo kk hapo tufanye nn tukiwa tunanunua PC il kutest batery