Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Hakuna kitu humo.... red mercury haiwi imepakiwa kiboya ivyo.......
Ilo tufe tu halina inshu
Ilo tufe tu halina inshu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wana akili kubwa sana..kuna watu wametapeliwa mpaka 100m saiz wanapita wanaongea peke yao barabarani...Ukitaka kutapeliwa jiingize kwenye hiyo biashara ya red mercury... Ni utapeli mkubwa sana!!!!
Utaenda mpaka Airport kupkea mnunuzi wako mzungu lkn mwisho mwishoni lzm ww uumie... Tena utaumia vibaya mno!!!
Chuma chakavu hicho.......utapata kitu kidogo hapo 1kg ni 400/=