Wataalamu wa Red Mercury, nijuzeni hili

Hakuna kitu humo.... red mercury haiwi imepakiwa kiboya ivyo.......

Ilo tufe tu halina inshu
 
Chuma chakavu hicho.......utapata kitu kidogo hapo 1kg ni 400/=
 
Ukitaka kutapeliwa jiingize kwenye hiyo biashara ya red mercury... Ni utapeli mkubwa sana!!!!
Utaenda mpaka Airport kupkea mnunuzi wako mzungu lkn mwisho mwishoni lzm ww uumie... Tena utaumia vibaya mno!!!
 
Jamaa wana akili kubwa sana..kuna watu wametapeliwa mpaka 100m saiz wanapita wanaongea peke yao barabarani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…