Wataalamu wa saikolojia: Nikitania nampiga mke wangu mtoto analia

Nyamisangura

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
87
Reaction score
107
Mtoto wangu ana miezi 10 huwa kama nikijaribu kucheza na mke wangu yaani tuna pretend kupigana ngumi au makofi basi mtoto wangu analia kweli, akitulia bado nikiwa najifanya kumpiga mke wangu mtoto analia anakuwa anagalagala kwa uchungu analia.

NOTE: Huwa hatupigani kiukweli ila huwa tuna pima reaction ya mtoto.

Huwa najiuliza sana.
 
Mngeanza kufanya hivyo mnavyofanya wakati mkeo akiwa mjauzito, huyo mtoto wenu asingekuwa akifanya hivyo coz angekuwa kashazoea toka tumboni
 
anajua mnataniana ndio maana analia. siku moja piganeni kweli kisha uje kutuambia analia kweli au[emoji125] [emoji125]
 
huyo mtoto alii kweli, na yeye anatania tu kulia kama nyie mnavyomtania kupiga.. kwaiyo hapo wote mnataniana
kitu kingine, huyo mtoto atakuwa amerithi tabia ya matani kutoka kwa wazazi
 
huyo mtoto alii kweli, na yeye anatania tu kulia kama nyie mnavyomtania kupiga.. kwaiyo hapo wote mnataniana
kitu kingine, huyo mtoto atakuwa amerithi tabia ya matani kutoka kwa wazazi
[emoji23] ..kuna ka ukwel flan hapaa
 
siku nyingine tania kumpiga denda mama mtoto uone kama atalia tena
 
huyo mtoto alii kweli, na yeye anatania tu kulia kama nyie mnavyomtania kupiga.. kwaiyo hapo wote mnataniana
kitu kingine, huyo mtoto atakuwa amerithi tabia ya matani kutoka kwa wazazi
Analia serious
 
Kweli, wa kwangu anarusha nae mikono. na kulia
 
huyo mtoto alii kweli, na yeye anatania tu kulia kama nyie mnavyomtania kupiga.. kwaiyo hapo wote mnataniana
kitu kingine, huyo mtoto atakuwa amerithi tabia ya matani kutoka kwa wazazi
hahahhahahhahaha kuna comment ukisoma full vituko!!
 
Yeye ni binadamu ni roho iliyohai, anahisia, anafurahi, anasikia uchungu pia haya yote hata akiwa tumboni huwa anahisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…